Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mhe. Wang Yi Awasili Nchini
- mwanzos12
- Jan 7, 2021
- 1 min read
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mhe. Wang Yi amewasili Uwanja wa Ndege wa Geita - Chato jioni ya Leo na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Kabudi pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Kesho Januari 8, 2021 atakutana na kuzungumza na Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli Chato Mkoani Geita.