TFF Yamteua Kim Poulsen Raia wa Denmark kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania
- mwanzos12
- Feb 15, 2021
- 1 min read

Leo Februari 15, 2021 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Limemteua
Kim Poulsen raia wa Denmark kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Poulsen anachukua nafasi ya kocha Ettiene Ndayiragije. Kim Poulsen alishawahi kuwa Kocha wa Taifa Stars mwaka (2012-2014).




Comments