Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Amuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud.
- mwanzos12
- Mar 2, 2021
- 1 min read
Leo tarehe 02/03/2021 Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud Othman Ikulu, Zanzibar.
Mhe. Othman Masoud Othman wa ACT-Wazalendo ameapishwa baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, kuchukua nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad, aliyefariki Dunia tarehe 17 Februari 2021.








Comments