RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AAKUTANA NA BALOZI WA INDONESIA NCHINI TANZANIA
- tumsifukabunduki
- Mar 4, 2021
- 1 min read

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe.Prof.Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha alipofika Ikulu kwa mazungumzo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe.Prof. Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe.Prof. Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.



Comments