Rais Magufuli Awakumbusha Wananchi Kuchukua Tahadhari za Korona na Kumtanguliza Mungu.
- mwanzos12
- Feb 19, 2021
- 1 min read
Updated: Feb 20, 2021
Leo Februari 19.02.2021 Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa kwenye ibada ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi amewakumbusha Wananchi Kuchukua Tahadhari za Korona na kumtanguliza Mungu.







Comments