top of page
Search

Mapokezi ya Mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi katika Uwanja wa JNIA

  • mwanzos12
  • Feb 19, 2021
  • 1 min read

ree

Jana Februari 18, 2021 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa aliongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John William Kijazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA).


ree

ree

ree

ree

ree

ree

ree

Mwili wa marehemu Balozi Kijazi unaagwa leo Ijumaa Februari 19, 2021 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na kisha kusafirishwa kwenda Wilayani Korogwe, Tanga kwa ajili ya mazishi.

 
 
 

Comments


UntitledPost (5).jpg

MwanahabariOnline

GAZETI LA KILA MWEZI 

Powered by

Diaspora

  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter

© 2025

bottom of page