top of page
Search

MAENDELEO YA UJENZI BARABARA YA MOROCCO-MWENGE UENYE KM 4.5 INAYOJENGWA KWA NJIA 4 MPYA

  • tumsifukabunduki
  • Mar 10, 2021
  • 1 min read

ree

ree

ree

ree

ree

Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35, mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani Dar es Salaam.

 
 
 

Comments


UntitledPost (5).jpg

MwanahabariOnline

GAZETI LA KILA MWEZI 

Powered by

Diaspora

  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter

© 2025

bottom of page