Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Bashiru amtembelea Rais Dkt. Mwinyi Ikulu Zanzibar
- mwanzos12
- Mar 10, 2021
- 1 min read
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Husssein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, alipofika Ikulu, Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi amempongeza Balozi Dkt. Bashiru Ally kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Tanzania na kumuahidi ushirikiano.
https://t.co/GNCz3MVg6b









Comments