Dar es salaam: Waziri Mkuu atembelea mabasi mapya ya Mwendokasi
- johnwengwi
- Aug 13
- 1 min read
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea mabasi mapya ya Mwendokasi, pamoja na kukagua baadhi ya vituo vya Mwendokasi vilivyopo Mbagala na Gerezani. Waziri Mkuu ametembelea mabasi hayo leo tarehe 13/08/2025.
Aidha, amekagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kujazia gesi kinachoendelea kujengwa Mbagala.
Hivi karibuni huduma mpya za Mwendokasi zitaanza rasmi.






Comments